Muhtasari
Amazon Credit Company Limited ni taasisi ya kifedha ya daraja la juu iliyojitolea kutoa masuluhisho ya haraka na ya kuamika. Lengo letu ni kuwawezesha watu binafsi na biashara ndogondogo kwa kutoa mikopo ya dharura inayopatikana kwa urahisi na uwazi.
Dhima Yetu
Kubadilisha maisha kupitia huduma jumuishi za kifedha zinazochochea ukuaji wa kiuchumi na utulivu kwa wateja wetu.
Dira Yetu
Kuwa Mtoa huduma wa mikopo anayeaminika na mwenye ubunifu zaidi katika kanda hii,tukiongozwa na kaulimbiu "Mkopo Rahisi,Maisha Bora"