Mikopo ya Dharura ya Haraka kwa ajili Amani ya Akili yako.
Pata Suluhisho la haraka la kifedha,la kuaminika na lenye uwazi kupitia Amazon Credit

Timu Yetu yenye kujitolea
Katika Amazon Credit,timu yetu ya wataalam wenye Urafiki iko tayari kila wakati kusikiliza na kutoa suluhisho bora la kifedha linalokidhi mahitaji yako. Tumejitolea kuhakikisha uwazi,kasi na kusaidia ukuaji wako katika kila hatua.

Huduma Zetu
Mkopo Wa Dharura
Msaada wa haraka wa kifedha kwaajili ya nyakati usizozitarajia. Pata Idhini ndani ya dakika chache na ushughulikie dharura yako ukiwa na Amani ya Akili.
Mkopo Wa Biashara
Ikuze biashara yako hadi ngazi nyingine kwa machaguo yenye masharti nafuu.Tunatoa viwango vya riba nafuu ili kuongeza mtaji wako.
Mkopo wa Watumishi
Mkopo wa haraka na wa kuamika kwa Waajirwa wa sekta za serikali na binafsi. Simamia matumizi yako ya kila mwezi kwa urahisi.
Mkopo wa Haraka kwa Wote!
Tunakusaidia kuziba pengo la kifedha kwa kasi na uadilifu
Iwe ni kwaajili ya dharura, kukuza biashara, au maendeleo binafsi, tuko hapa kusaidia safari yako kwa masharti nafuu.


Amazon Credi walinisaidia kupata mkopo ndani ya masaa 24. Huduma zao ni bora sana.
Pillirani Msukwa
Kwanini Uichague Amazon Credit?
Idhini ya Haraka
Mchakato mzima tangu kuomba hadi kukubaliwa ni masaa 24 tu
Marejesho rahisi
Mpango wa marejesho uliyoundwa maalum kukidhi bajeti yako ya kifedha
Hakuna gharama zilizofichwa
Utoaji mikopo wa uwazi bila ada za kushtukiza wala masharti magumu.
Wasiliana Nasi
Buzuruga, Mwanza City, Tanzania
info@amazoncredit.co.tz
+255626 590 476